Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, March 20, 2012

Bara bara Kata ya Ilomba Mtaa wa Mwaiseje yaanza kufanyiwa marekebisho

 Mafundi wakiwa wanatengeneza mtaro wa maji ya mvua
Mafundi wakiendelea kwa kasi kujenga mtaro huo kwa ajili ya maji ya mvua mchana wa leo

 Fundi akijaribu kujenga kwa umakini kuepuka kutoboa Bomba ambalo limepita katika mtaro huo
 Muheshimiwa Diwani wa kata ya Ilomba D. Mwakilasa akiwa makini kusimamia zoezi hilo la ujenzi wa Daraja na bara bara kwenye kata yake
 Mwanamke na maendeleo na kikazi zaidi Dada a=Atupakisye hapa akiwa anachanganya zege kwa umakini wakati wa ujenzi huo.
Hivi ndivyo shughuri inavyo onekana

No comments: