Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, March 26, 2012

Airtel yakabidhi milioni 50 kwa mshindi wa Droo ya mwisho ya promosheni ya Mzuka jijini Mbeya

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akikabidhi hundi ya  mfano ya shilingi milioni 5o/= kwa mshindi wa promosheni  ya  Airtel MZUKA Peter Lukas Laizer ambaye ni mkazi wa Dodomo yupo kikazi kwa muda Mbeya hafla hiyo fupi imefanyika jana katika ofisi ya Airtel jijini Mbeya

Peter Lukas Laizer Akiwa ameshikilia mfano wa hundi ya shilingi milion 50 jijini Mbeya jana

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando mbali ya kumkabidhi hundi hiyo kwa Bwana Peter amewaomba wakazi wa Mkoa wa Mbeya na nchi za jirani kama Zambia na Malawi kujiunga na mtandao wa Internet ya kasi ya ajabu ya 3.75G toka Airtel uliyozinduliwa hivi karibuni

Mshindi wa promosheni ya mwisho ya mzuka Peter Laizer akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa hudi yake hapo jana katika hafla fupi iliyofanyika katika ofisi za Airtel Mbeya

No comments: