Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, February 4, 2012

SIKU YA SHERIA NCHINI YAFANA JIJINI MBEYA

Waheshimiwa majaji  wanasheria na watumishi wa mahakama wakiangalia gwalide lililoandaliwa na jeshi la polisi mkoani mbeya
Jaji mfawidhi kanda ya mbeya jaji Mmila akiwahutubia wageni waliohudhuria siku hiyo ya sheria 
Wanasheria  watumishi wa mahakama na wananchi mbalimbali wakimsikiliza jaji mfawidhi kanda ya mbeya
Kwaya ya mahakama kanda ya mbeya ikitumbuiza wageni waalikwa siku ya sheria nchini
Madhehebu mbali mbali ya dini yalitoa sara zao siku hiyo ya sheria nchini

No comments: