Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, January 12, 2012

DKT. W. SLAA ANGURUMA MBALIZI MBEYA HUKU MVUAIKIENDELEA KUNYESHA

Dr. W. Slaa akihutumbia mamia ya wakazi wa mji mdogo Mbalizi Mbeya leo jioni
Huku mvua ikiendelea kunyesha Dr. Slaa aliendelea kuwahutubia mamia ya wakazi wa Mbalizi

Baadhi ya mabango waliyobeba wanachama wa chadema Mbalizi wakimkaribisha Dr. Slaa kiwanjani hapo





Mamia ya wakazi wa mji mdogo wa Mbalizi wakimsikiliza Dr. Slaa huku mvua ikiendelea kuwanyeshea





No comments: