Mmiliki wa kiwanja hicho kamwaga mawe na kuweka uzio wa mabati kuto ruhusu tena kupita kwa barabara hiyo |
Huu ndiyo mtaa uliyofungwa wa forest barabara ya kwanza jijini mbeya |
Hiki ndicho kiwanja kilichouzwa katikati ya barabara ya forest |
Barabara inayoonekana mbele ni barabara ya kwenda BOT na Mahakama kuu iliyopigwa vibao ni barabara iliyofungwa |
No comments:
Post a Comment