HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YAPIGA MARUFUKU USHONAJI NGUO NJE YA VIBARAZA KATIKATI YA JIJI LA MBEYA
Mzee Mwailomo mtaalamu wa kushona nguo za aina mbali mbali zaidi ya miaka 40 anafanya kazi hiyo ya ushonaji nje ya kibaraza katika jengo la Memba jijini mbeya kwa sasa wameamriwa kutoendelea kushona nguo nje ya vibaraza badalayake watafute vyumba na wawe wanashonea ndani na siyo nje tena
Mzee Mapunda anazaidi ya miaka 35 ya kushona nguo nje ya kibaraza na ndiyo riziki yake anapata kwa njia hiyo ameilalamikia halmashauri ya jiji kuwakataza kuendelea nashughuri zao za ushonaji nje ya vibaraza kwani sasa hana uwezo wa kupata chumba cha kuendelea nakazi yake hiyo amedai kuwa sasa jiji linampango wa kuwaua wazee wanaojitegemea
4 comments:
Anonymous
said...
Viongozi wetu wakati mwingine hawana busara, wanashindwa kushughulikia mambo ya msingi wanakimbizana na wananchi wanaojitafutia riziki kihalali. Ni bora wawalipishe kodi wanayoitaka, ili waendelee na kazi zao.
Inasikitisha sana kwa hao walotoa huo uamuzi usio wa msingi.Sheme mafundi wetu mtakwenda wapi?watafaya nn na je ni nn ataziangalia familia zao????au kuna mafungu watapewa iwasaidie hd wapate pahala pengine?kwa kuwambie watafute flem za biashara wenyewe haitasaidia. Ila hao walotoa huo uamuzi wamewataftia flem wenyewe na kuwapangisha lingekua jambo zuri sana kwan watalipa kodi na wataftiwe maeneo yalo busy wapate riziki yao.Angalieni kitu kingine cha kufanya isiwe sababu kwao
Inasikitisha sana kwa hao walotoa huo uamuzi usio wa msingi.Sheme mafundi wetu mtakwenda wapi?watafaya nn na je ni nn ataziangalia familia zao????au kuna mafungu watapewa iwasaidie hd wapate pahala pengine?kwa kuwambie watafute flem za biashara wenyewe haitasaidia. Ila hao walotoa huo uamuzi wamewataftia flem wenyewe na kuwapangisha lingekua jambo zuri sana kwan watalipa kodi na wataftiwe maeneo yalo busy wapate riziki yao.Angalieni kitu kingine cha kufanya isiwe sababu kwao tu

sasa hao wazee watakula wapi .AU serikali itawalipa

Post a Comment