![]() |
Vijana ambao hawakuweza kujulikana majina yao wakianza kuzichapa kavukavu kisa sh 500 wanaodaiana |
![]() |
Sasa wamekamatana na kutwangana makonde |
![]() |
Jamaa wakijaribu kuwaamulia na inashindikana |
![]() |
Pambano linaendelea |
![]() |
Jamaa washatumbukizana kwenye mtaro |
![]() |
Ugomvi hauishi nimeamua kuendelea na safari yangu |
No comments:
Post a Comment