Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akiongea na wakandarasi wa uwanja wa ndege songwe Mbeya alipotembelea kuona maendeleo ya kiwanja hicho |
Meneja wa kiwanja cha ndege mkoa wa mbeya Ezekia Mwalutende akisoma taarifa ya ya ujenzi wa kiwanja cha ndege songwe Mbeya |
Mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro akiwasisitiza wakandarasi wa ujenzi wa uwanja wa ndege songwe kukamilisha ujenzi uwanja huo kwa muda uliopngwa |
Mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro akimsikiliza Mhandisi wa kampuni ya kundan singh |
Mkuu wa mkoa Mbeya Basi Kandoro akikagua uwanja wa ndege songwe |
Hili ni jengo la abiria likikamilika linauwezo wa kuhudumia abiria 300 kwa saa |
3 comments:
kwa kweli tunamshukuru Mungu na wale wote waliochangia wazo la ujenzi wa uwanja huo mbeya, kwani ukishakamilika tutakuwa na uwezo wa kuhudhuria matukio mbeya na kurudi kuchapa kakzi Dar, Mungu ibariki Mbeya Mungu ibariki Tanzania
Umefanya vizuri sana kutuhabarisha juu ya uwanja huu, tunausubiri kwa hamu kubwa manake safari ya barabara kwenda/kutoka Dar siyo tu kwamba inakera bali pia ni ugonjwa!
hizi hadithi sijui zitagotea wapi na lini? ingekuwa ni kaskazini... mbona kitambo sana ungekuwa pouwa!! Labda Kanoro atakuwa masihi wa Mby city maanake hakuna cha Mwandosya, Mwakyusa, Mwakyembe, Mboma, wala Pinda aliyefanya cha maana!! Mungu ibariki Mby!
Post a Comment