Beki wa Yanga, Shadrack Nsajigwa akichuana na beki wa Bunamwaya ya Uganda,Kimuli Robert katika mchezo wa mashindano ya Kagame-Castle cup uliochezwa jioni ya leo ndani ya uwanja wa taifa jijini Dar.Yanga imeshinda bao 3-2.
Hamis Kiiza akimtoka beki wa timu ya Bunamwaya ya Uganda, Kimuli Robert wakati wa mchezo wa Kombe la Kagame Uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Yanga, Davies Mwape akimiliki mpira mbele ya beki wa Bunamwaya ya Uganda, Kavuma Habib.
Shadrack Nsajigwa wa Yanga akiruka daluga la Beki wa Bunamwaya katika mchezo uliopigwa jioni ya leo uwanja wa taifa wa jijini dar.
Nyanda wa Bunamwaya akionyesha umahiri wake wa kumatata mipira.
Yanga wakishangilia moja ya magoli yao.
Mashabiki wa Yanga.Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.
Habari kwa hisani ya Issa Michuzi
Habari kwa hisani ya Issa Michuzi
"
No comments:
Post a Comment