Mwanadada Wema Sepetu akimpa tafu mpenzi wake mwanamzuiki Daiamond kwa kuimba naye jukwaani, wakati alipokuwa akiimba katika tamasha la Msimu wa Dhahabu unaoendelea na Fiesta Serengeti kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro usiku wa kuamkia leo, ambapo mwanadada huyo ametisha na kushangiliwa sana na umati wa mashabiki waliokuwepo katika tamasha hilo lililohudhuriwa na mashabiki lukuki wa muziki wa Bongofleva, kama unavyomuona Diamond katika picha kama vile kasusa lakini wapi anamcheki mtoto wakati akiimba kwa madaha.
Hapa Diamond akimwimbia mpezi wake Wema Sepetu huku akiwa amepiga magoti katika kuonyesha heshima kubwakwake kutrokana na sapoti anayompa katika kazi zake.
hima kubwakwake kutrokana na sapoti anayompa katika kazi zake.
Wema Sepetu Mashalaah akiondoka jukwaani baada ya kufanya vitu vyake na kushangiliwa sana na mashabiki wa mpenzi wake ilikuwa bomba kwelikweli.
lo lililofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Mwamba wa Kaskazini Joh Makini kushoto akichana kipaza sauti chake pamoja na mwenzake.
Mwamba wa Kaskazini Joh Makini kushoto akichana kipaza sauti chake pamoja na mwenzake.
Kwa Chanzo Na Picha Zaidi <<< BOFYA HAPA >>>
1 comment:
Ndio maana Sugu alikataa FIESTA isije mbeya. Kwa kitendo huki cha wema kuonesha makalio yake yasiyo na kishikio , analeta ujumbe gani kwa wana mbeya? akija tuisusieeeeeee
Post a Comment