Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, July 4, 2011

Wadau Je mmesha wahi kukutana na hii hapa ya Cassette Changer??

Nikiwa ndani ya Gari hilo naskiliza muziki wa radio cassette Changer  

Hapa  Tape rom zikiwa zimefunguliwa kabla ya kuanza kupiga

Muonekano wa Radio hii ambayo unapiga tape nnw kwa wakati mmoja

Hapa Player Tatu zimefungwa na moja imebakia

Hapa Player zote zimefungwa

Swali Ni je usha wahi kutana na hiii?

No comments: