Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, July 29, 2011

TBL yazipatia vifaa vya michezo timu za Yanga na Simba


Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe (kulia), akizungumza na waandishi wa habari wakati a kukabidhi vifaa hivyo.

Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Geofrey Nyange 'Kaburu' katikati, akiwa ameshikana mikono na Ofisa wa Habari wa Yanga Louis Sendeu kwa kuziunganisha jezi zao baada ya kukabidhiwa na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe (kushoto). Wa pili kulia anayeshuhudia tukio hilo ni Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Hosea.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe (kushoto), akimkabidhi jezi na vifaa vingine vya michezo Kocha Msaidizi wa Yanga Salvatory Edward katika hafla hiyo. Wa pili kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Angetile Hosea, Meneja Masoko wa TBL, Mamongae Mahlare na Ofisa habari wa Yanga Louis Sendeu.

No comments: