Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, July 4, 2011

TAJI LA VODACOM MISS MOROGORO 2011LANYAKULIWA NA ASHA SALEH


Vodacom Miss Morogoro 2011, Asha Saleh, akiwa na washindi wenzake, mshindi wa pili, Ritha Kavishe (kulia) na watatu Sharifa Issa, wakiwa na furaha tele baada ya kutangazwa washindi katika shindano lililofanyika usiku wa kuamkia leo na kuwashirikisha jumla ya warembo 15 katika kinyang'anyiro hicho. Picha na Blog ya Jamii.

No comments: