Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, July 29, 2011

MAANDALIZI YA MAONYESHO YA KILIMO NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA

UWANJA WA MAONYESHO YA KILIMO NYANDA ZA JUU KUSINI MBEYA
Mafundi rangi wakiwa kazini kuchora na kupaka rangi majengo ya uwanjani hapo
Nao wauza mabaki ya mbao yaani mabanzi wakiwa tayari wameshusha mzigo wakutosha tayari kwa kuwauzia wateja wao wa kujenga vibanda vya muda
Vodacom nao hawapo nyuma wakiwa katika hatua za mwisho kukamilisha mabanda yao
Kwa wauza chakula na vinywaji tayari wenyewe wameshaanza biashara yao
Nyama choma ipo tayari
Vibanda vya coca cola
Fundi kuchora akiandaa bango
Hawa bado sijui lini watakuja kuandaa kibada chao
Kidogo angalau wameanza toa nyasi
Hawa hata dalili hazipo 

No comments: