 |
| Nikiwa Kyela mjini baada ya kutoka Bujonde na Lubaga yaani huko ni mvua tu |
 |
| Kwa ujumla hali ya barabara ya Bujonde haifai kabisa ni tabu tupu hapa tumekwama |
 |
| Bara Bara imechafuka ile Mbaya |
 |
| Baada ya kukwama kwa muda tulipata chakula samaki aina ya mbasa na viazi vitamu |
 |
| Nikiwa kwenye meli ya MV Songea bandarini itungi kyela |
Hii ndio Sura ya meli hiyo
 |
| Nikiwa na ndugu zangu tumepumzika njia panda bujonde na lubaga |
Hapa Baada ya kazi Mzito Kumalizika
 |
| Nikiwa na mwenyeji wangu angetile akinitembeza ziwa nyasa |
 |
| Ilikua ngumu kwangu kuvuka mto kiwila kwenda ziwa nyasa yaani ilibidi nifumbe macho maana sijawahi panda mtumbwi na mto wenyewe una mamba kibao |
 |
| Nikipata chai ziwani |
 |
| Nikiwa na ndugu zangu |
No comments:
Post a Comment