Wafanyabiashara wa duka moja mtaa wa Uhindini katika manispaa ya Iringa wamenusurika kifo mchana huu baada gari hilo kupalamia ukuta wakati dereva wake akijiandaa kuanza safara baada ya kuegesha eneo hilo kwa muda mfupi,katika tukio hili hakuna aliyejeruhiwa zaidi ya gari na nyumba hiyo kuharibika
Habari kwa hisani ya Francis Godwin
No comments:
Post a Comment