Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, May 7, 2011

Wanajeshi wa Jeshi la kujenga Taifa wasaidia kufanya usafi maeneo ya Magomeni Mikumi mchana huu

Wakitokea halmashauri ya manispaa ya kinondoni kuelekea eneo la tukio

Hapa tulidhani wanapiga kwata kumbe ni mazoea tuu hujenga tabia

Akiwa chini ya mti anajipumzisha baada ya kuzibua mashimo kibao ya maji taka

Wakiwa mzigoni huku mwingine akiwa anasikilizia nini kitaendelea

Eneo ambalo tayari limesafishwa 

Hapa sasa Jamaa wa jeshi wamegongana maeneo na jamaa wa tigo katika harakati za kufanya Manispaa ya Kinondoni kuwa safi

No comments: