Wanafunzi wakingojea mtinange kuanza
Kila mtu tumbo joto wasijue nani ataibuka kidedea
Wakiwa na Furaha wakati wa mashindano hayo ya UMISETA
Wadau wakifuatilia mashindano hayo ya UMISETA kwa umakini zaidi
Afisa elimu Sekondari wilaya ya Mbozi Bwana Isaac Mgaya akizungumza wakati wa ufunguzi wa mashindano ya UMISETA ndani ya wilaya yanayoshirikisha jumla ya shule 68 za wilaya hiyo
Wadau wakisikiliza Hotuba ya ufunguzi wa mashindano hayo
No comments:
Post a Comment