Ligi ya taifa ama Taifa Cup imeanza katika vituo mbalimbali huku kituo cha Mbeya kikionyesha ushindani mkali baada ya timu ya Pinda Boys kuwalipua bila huruma TMK wanaume Family ama Temeke ya jijini Dar mabao 2-1 katika mchezo mkali uliofanyika uwanja wa sokoine. Pichani mmoja wa washambuliaji wa Pinda Boys akijaribu kuwatoka walinzi wa timu ya TMK. Picha kutoka blog dada ya http://www.dtwevetz.blogspot.com/
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment