Sunday, May 8, 2011
MAABARA YA HOSPITALI YA MKOA WA MBEYA
Kama inavyoonekana hapa ni moja ya majengo yaliyopo katika hospitali ya Mkoa wa Mbeya ambalo sasa linatumika kama maabara, utaratibu ni kwamba wakati wa kuchukua majibu unatangaziwa kupitia spika zilizowekwa kwenye paa la jengo kwa ndani kwahiyo hata ukiwa na matatizo ya usikivu utaitwa tu na utasikia jinala lako.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment