Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, May 19, 2011

Kiwanda cha HI-Soap Jijini Mbeya wajasiliamali mko wap?

Kwa Mbali ni picha ya kiwanda cha sabuni kilichopo Maeneo ya kati kati ya Iwambi na Iyunga Jijini Mbeya

Taswira hii inaonesha jinsi kiwanda kilivyo telekezwa na pmbezoni kumebakia eneo la Kilimo kwanza
Ni moja ya viwanda vikubwa ambacho kwa sasa kimebakia historia tuu, hakuna kinacho endelea na majengo yamebaki tuu yanatazama bara bara, sasa kina miaka zaidi ya Kumi tangia uzalishaji usitishwe. Kamera yetu ilijitahidi sana kuwapata wahusika na ikagundukika kuwa hata  hakuna walinzi wanaolinda eneo hilo muhimu. Hata hivyo tulipo onana na wananchi waishio maeneo ya hapo walisema kuwa wangependa sana kiwanda kifufuliwe ili kuendelea na utengenezaji wa Sabuni hizo zenye kiwangi cha Juu sana.

No comments: