Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, May 8, 2011

Hepi Besdei ya kuzaliwa Mh. Mo



Mbunge wa Singida Mjini,Mh.Mohammed Gullam Dewji.

Tarehe na mwezi kama wa leo kwa Baraka zako alizaliwa kiumbe aliyepata Baraka zote kutoka kwa Mwenyezi Mungu wetu na kwa wazazi wake ambao ni Mungu wa Dunia.

Na kwa sasa ni Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Makampuni ya MeTL na pia Mkurugenzi wa mtandao mahiri wa habari na burudani hapa nchini na duniani wa MO BLOG.

Mpenda watu, mcheshi na mpenda michezo na mwenzetu.

Tunakumbuka siku ya kuzaliwa kwako na mafanikio yako.

Wapenda amani na maendeleo ya vijana mmeshamtambua kuwa si mwingine bali ni Mh.Mohammed Gullam Dewji.

Mbunge wa Singida Mjini.

HAPPY BIRTHDAY BROTHER

No comments: