Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, May 17, 2011

Hatimaye Kero ya Ujenzi Eneo la Daraja la mlalakuwa imeisha Jana

Magari yakiwa katika Foleni wakati kazi ya ujenzi inaendelea eneo hilo

Baadhi ya magari yakiwa yanapishana eneo hilo

Kwa mbali inaonesha shughuri za ujenzi eneo hilo zinaendelea kumaliza mapema ili kuepusha msongamano huo.

Ni zaidi ya wiki tatu sasa ambapo eneo hilo Jirani na daraja la mlalakuwa Old Bagamoyo road palikuwa pamechimbuliwa shimo ndani ya bara bara jambo lililo sababisha msongamano wa magari zaidi katika eneo hilo,hata hivyo kufikia jana mchana shuguri za ujenzi eneo hilo ziliisha na safari za magali ziliendelea kama kawaida.

No comments: