Baadhi ya wabunge wa chadema na wanachama wao wakielekea katika kituo cha kuanzia maandamano yao ya amani kuelekea viwanja vya luanda nzovwe jijini mbeya habari kamili tutawaletea baadae |
wanachama wa chadema na mapango yao |
Wanachama wengine wachadema wakiwa na mabango mbali mbali katika maandamano hayo ya Amani
Baadhi ya Magari yaliyo kuwepo katika msafara huo.
1 comment:
Nitakuwa wakwanza hapa kukiri sijawahi kusoma siasa (POLITICAL SCIENCE), lakini nafikiri kitu chenye jina "maandamano ya amani" yaani "PEACEFUL DEMOSTRATIONS" ni uzushi mtupu. Labda nijieleze kwa Kiingereza: IT IS A CONTRADICTION IN TERMS.
Wewe unaandamana kwa kuwa UNAMPINGA aliekuwa madarakani sio?
Aliekuwa madarakani yeye yake yote anayaona ni amani tupu kwa hiyo KWA MAONI YAKE yote anayempinga "anaipinga amani TAWALA".
Na ndio maana hata "maandamano ya amani" yanatajika yapate kibali serikalini kabla ya kufanyika. KILE KIBALI NI KUISADIA SERIKALI UWEZO WA ?KUMUDU?control NAMNA YA WALE WANAYEPINGA KITU FULANI ISIRUKE MIPAKA. Lakini kifalsafa huwezi kabisa ukawa na "amani" mbili zinaopingana NCHINI MOJA NA CHINI YA BENDERA MOJA...
...au nakosea tena, Nduguzanguni?
Post a Comment