Wilaya ya Kyela imekumbwa tena na mafuriko, ni kuanzia eneo la Tenende kuelekea Ipinda. Barabara pamoja na vijiji vilivyoko kwenye maeneo hayo vilikuwa vimefunikwa na maji hadi jana jioni |
Hi ndiyo hali halisi ya eneo la Tenende huko Kyella, inaelezwa kuwa mafuriko hayo yanatokana na mvua kubwa iliyonyesha wilayani Rungwe tangu juzi. picha na felix mwakyembe |
No comments:
Post a Comment