Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, April 22, 2011

Yaliyo Tokea jana Bara bara ya Dar es salaam kuelekea Mbeya

Ajali iliyo tokea jana majila ya asubuhi maeneo ya mikese Morogoro kati ya Gari la Shirika la Posta na Gari Kubwa la Mizigo.
Gari ya mizigo ikiwa imepigwa Nje ya bara bara  na Gari ya posta Mda Mfupi baada ya ajali hiyo
Gari la Shirika la Posta muda mfupi baada ya ajali hiyo
Gari la mafuta lililo ungua katika Mbuga ya wanyama Mikumi
Huu ndio uzembe unaosababisha ajali mbali mbali katika njia inayo elekea Mbeya
Jamaa hapa alishindwa ikabidi aingie chaka
Hii ilinishangaza sana maana Gari ya mizigo ikiwa imeacha njia huku Kontena likiwa limeelekea upande wake na Kichwa Eneo lake
Gari hilo la mizigo baada ya kuacha njia na kuingia kichakani
Gari lingine likiwa porini baada ya kuacha  njia
Ajili hii imetokea maeneo ya  Iringa ambapo magari matatu yaligongana
Hapa mimi sisemi sana

No comments: