Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, April 8, 2011

WADAU MAENEO MBALI MBALI JIJINI MBEYA

Town Mitaa ya Cinema
Kota za Sokomatola zinafahamika sana
Mbeya City Central mitaa ya Posta
Mbalizi Road 
(Kwetu Mbeya)
Endelea kufuatilia kona mbali mbali Jijini Mbeya

2 comments:

Anonymous said...

Umenikumbusha mbali sana miaka 5 iliyopita nilikuwa chuoni TIA (uhasibu). Naomba uweke picha za mwanjelwa kidogo; pamoja na chuo cha uhasibu.

Anonymous said...

Endeleza kazi nzuri mwana, sisi watu tunaotoka mbeya na vitongoji vyake tunapendfa ona picha za home, pia usisahau picha za vitongojini, tukuyu, uyole,kyela, nk..., asant mwana