Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, April 26, 2011

Vodacom M-Pesa sasa kila kona mpaka Vijijini

Moja ya Ofisi za Vodacom M-Pesa eneo la Vwawa Wilayani Mbozi
Duka Lengine la Vodacom M-pesa ambapo watu hufika na kupata huduma ya fasta pindi watumiwapo pesa na ndugu zao.

Pia katika Harakati za kuboresha zaidi huduma za Vodacom M-Pesa sasa wameamua kuweka vibanda vya huduma hiyo kila kona za mjini na vijijini.

No comments: