Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, April 21, 2011

SHULE YA WATOTO WATUKUTU ILAMBO MBEYA YAPATA MSAADA WA CHAKULA TOKA KWA RAIS KWA AJILI YA KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA PASAKA

Mkuu wa wilaya mbeya, Evans Balama akisisitiza jambo wakati  akikabidhi msaada wa vyakula wenye thamani ya shilingi laki tano kwa watoto  watukutu 67 waliopo katika shule ya msingi ya maadilisho ya ilambo iliyopo wilayani mbeya kwa niaba ya Rais Jakaya Kikwete
Watoto wanaokingana na sheria  ( watukutu)  wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya  kabla ya kukabidhi msaada huo wa vyakula

No comments: