Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, April 24, 2011

Sherehe za pasaka zafana Kanisa la Itili Sae Jijini Mbeya leo

Viongozi wa kanisa la Moravian Itili Sae wakiwa wanaongoza ibada ya pasaka Leo asubuhi
  
Kwaya ya watoto Itili Sae wakiwa wanatumbuiza Mbele ya waumini leo katika Ibada ya Pasaka
Ilifika saa ya kukata Shauli ambapo watu kibao walimpokea na Kufufuka na Bwana Yesu
Baba Mchungaji wa Ushirika Wa Itili Mchungaji Pangani akiwa anatoka nje baada ya kumaliza Ibada asubuhi ya Leo
Waumini wa Ushirika wa Moravian Itili Sae wakipata Baraka za mwisho kabla ya kutawanyika kurudi majumbani kusherekea Pasaka
Hili ndilo kanisa la Itili la Sae Jijini Mbeya

No comments: