Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, April 26, 2011

Msimu wa mazao wapamba Moto Huko vijijini Mbeya

Kahawa ikiwa imependeza na inaonesha mwaka huu wakulima wa zao hilo watachekelea sana
Shamba la Maharage nalo likiwa limependeza sana, hii ni kutokana na Mvua zilizo nyesha
Hizi ni ndizi Nyekundu ambazo mala zote huwa tamu sana zinapatikana Mbozi  na Baadhi ya maeneo mengine machache mkoani Mbeya
Mahindi yakiwa katika hatua za mwisho za kukomaa...hata hivyo wananchi wamesha anza kuchoma na mengine kupikia Kande.
Muhindi huu umekomaa

No comments: