Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, April 16, 2011

MICHEZO

Mfungaji wa timu ya netiboli ya Hamambe ya Mbeya Subira Ally wa kwanza kulia (mwenye jezi ya GS) akiwania mpira na mlinzi wa timu ya Polisi Arusha wakati wa mashindano ya ligi daraja la pili ngazi ya taifa hatua ya robo fainali katika uwanja wa ndani wa Jamhuri mjini Morogoro ambapo Hamambe ilishinda kwa bao 34-13.
Mchezaji wa Hamambe ya mkoani Mbeya Martha William kushoto akijiandaa kutoa pasi kwa mfungaji wa timu hiyo Subira All wa kwanza kulia huku wachezaji wa timu ya Polisi Arusha wakiwania mpira huo wakati wa mashindano ya ligi daraja la pili ngazi ya taifa hatua ya robo fainali katika uwanja wa ndani wa Jamhuri mjini Morogoro ambapo Hamambe ilishinda kwa bao 34-13.

No comments: