Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, April 10, 2011

MHE. JAKAYA AONGOZA KIKAO CHA NEC DODOMA

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi waandamizi wa CCM wakipiga makofi muda mfupi kabla ya kuanza kikao cha Halshauri kuu ya Taifa CCM katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo asubuhi.
Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal ,Wziri mkuu Mizengo Pinda pamoja na baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM taifa wakati wa kuanza kikao hicho mjini Dodoma leo asubuhi
(Picha: Freddy Maro)
 

No comments: