Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, April 10, 2011

MH BALOZI AKUTANA NA WATANZANIA READING

kushoto Frank, Mh Balozi na Nocha katika picha ya pamoja.
Mh Balozi alieambatana na mama Balozi wakiwa na Viongozi wa TA pamoja na crew ya urban Pulse
Mh Balozi akitoa ufafanuzi kwa wadau kuhusiana na mambo mbalimbali, pembeni yake akiwa na mama Balozi Mrs Joyce Kallaghe pamoja na mama Maria wakifuatilia mada hiyo kwa makini.
Wadau wakisikiliza kwa makini huku wengine wakitaza Kamera


No comments: