Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, April 12, 2011

Leo Ni Kumbukumbu Ya Edward Moringe Sokoine

EDWARD MORINGE SOKOINE
MWALIMU AKIMWAPISHA SOKOINE KUWA WAZIRI MKUU
Ni Wami-Dakawa-Morogoro. Wengi wetu tunakumbuka tulikuwa wapi siku ile ya tarehe 12 April 1984 wakati Mwalimu Nyerere alipolitangazia taifa kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine kilichotokana na ajali ya gari akiwa njiani kutoka Dodoma kwenda Dar. Mahala hapa panaelekea kutokupewa umuhimu wake unaostahili mbali ya kuwa ni njia ambayo Mawaziri, Wabunge na watendaji wengine serikalini wanapita karibu kila siku wakielekea au kutoka Dodoma.

No comments: