Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, April 10, 2011

Hivi ndivyo ilivyo kuwa kwa vijana katika mswada mpya wa Katiba

Dooh hapa swagaz vijana wamepiga mbonji balaa
Huku sakata linaendelea wanafunzi Hoi
Sasa nilikua najiukiza wameenda kupumzika au kusikiliza Mswada mpya wa katiba 

Hii itakua swaum hii
Nimegundua kuwa Viti vilichangia sana maana so confo....
Picha zote kwa hisani ya mdau Richard Mwaikenda kupitia Haki Ngowi Blog


No comments: