Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, April 26, 2011

Hii ni ajabu na kweli simu za Line NNE kwa bei sawa na Bureee

Hapa Gari la kuuza simu za ajabu Line NNE likiwa tayali kwa ajili ya kuanza mauzo
Wananchi Mbali mbali wanajivuta kushangaa simu zenye Line nne 
Babu akiwa anachagua simu hizo ambazo zilikua na mvuto na style ya aina yake
Hizi  ndizo simu zenyewe kuanzia Line moja Mpaka NNE kwa bei poa kuanzia 30,000 mpaka za bei ya juu kabisa 50,000 line NNE na pia kuna simu zingine zina uwezo wa kuwaka kwa siku mbili bila kutumia Betrii
Hii ndio simu inayo tumia Line NNE kama inavyo onekena hapo na kwa bei Poa 50,000 na pia inauwezo wa kuwaka siku mbili bila ya kutumia Betri
Wa kwanza kushoto ndie Dr. Matelephone mpigie simu kupitia 0767361708 na katikati ni mwandishi wa Mbeya yetu Blog Fredy Njeje na wa Tatu ni jamaa ambae pia ni msaidizi wa Dr Matelephone

No comments: