Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, April 25, 2011

HAWA NDIYO WANAOTUHUDUMIA VIJIJINI

Moja ya maduka ya vijijini ambayo huuza bidhaa zote tofauti na mjini ambako bidhaa hutenganishwa kulingana na aina ya duka lakini hapa unapata misumari, bati, wembe, mayai, soda, unga, nguo, mafuta, diesel, pombe nk

3 comments:

Anonymous said...

Aisee kweli umenikumbusha maduka ya vijiini ni kwa kila kitu, safi sana wazee endelezeni picha za huko mikoani bwana ndizo tunazi miss na sio za mijini , kazi nzuri

Goodman Manyanya Phiri said...

Wapi dawa ya kichwa, nataka! Kinanigonga sana aiseee!

Anonymous said...

Hahahaa,Hii imenichekesha kweli.Mdau, Denmark.