Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, April 13, 2011

Airtel yazidi kusheheneza mawasiliano vijijini –Samunge sasa yapata mawasiliano

Mchungaji Mstaafu Ambilikile Mwasapile akipokea zawadi ya simu ya Mkononi kutoka Airtel, anayemkabidhi ni meneja wa biashara wa Airtel Mkoa wa Arusha, Paschal Bikomagu. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Bw Elias Wawa Lali.

No comments: