Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, April 19, 2011

Adha za Mvua Jijini Dar es Salaam.

Mvua kubwa iliyo ambatana na ukungu maeneo ya Morocco, zilisababisha msongamano mkubwa wa Magari katika eneo hilo
Baadhi ya ofisi zikiwa zimejaa maji baada ya Mvua hizo
Wanausalama wakiwa wamefika eneo la tukio kuweka mambo sawa
Hapa kila Dereva anajitahidi kupata kaupenyo baada ya mvua hizo


No comments: