Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, March 20, 2011

Ya ya yaliondo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), William Lukuvi, akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Elias Wawalali na Rose Nyerere (katikati) baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndega wa Wasso, Liliondo, jana asubuhi. Rose alitua na ndege nyingine akiwa na mdogo wake anayeumwa, Mazembe Nyerere.Waziri Lukuvi na msafara wale walielekea kijijini Samunge kwa Mchungaji Ambilikile Mwasapile (pcha : NewHabari)

No comments: