Na Josephat Lukaza(Dodoma)
Umati Wa Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakiwa Katika Foleni Kwaajili Ya Kuuaga Mwili Wa Marehemu Eva Katabalwa Ambae alikua Mwanafunzi Wa Mwaka Wa Tatu(3) ambae alikua akisoma Shahada ya Kwanza Ya Sayansi Ya Siasa na Utawala Wa Umma yaani Bachelor of Arts In Political Science and Public Administration (PSPA)
Kwa Taarifa hii ya kusikitisha na kujua jinsi ilivyo kuwa bofya hapa chini.
Kwa Habari zaidi ya kina kutoka kwa mwana libeneke wa Dodoma Bofya hapa chini
Mungu ailaze Roho ya Marehemu Eva Mahali pema Peponi , Mbeya yetu blog inawapa pole ndugu jamaa na marafiki bila kusahau wanafunzi wa Chuo kikuu Dodoma kwa Msiba mkubwa ulio wapata Amen.
No comments:
Post a Comment