Hebu tujiulize wadau Hili ni daraja huko Mbeya vijijini...Je Huyu Mbunge aliye chaguliwa hayaoni haya??...
Huyu ni mwanakijiji anapita katika Daraja hilo ambapo wakati wa mvua kali daraja kama hili inakuwa nini kaazi kweli kweli
Lakini sasa tuangalie upande wa pili hapa ni Jijini Mbeya Bara Bara ni nzuri na kila kitu ni poa sasa Swali ni kwamba hawa Tulio wachagua hawalioni Hili?
2 comments:
hilo daraja linaweza kuimarishwa na watumiaji wa kila siku, kazi rahisi lazima tuanze kazi za kujisaidia wenyewe, haina haja ya kuisubiri serikali ikuzibie viraka vyote!!!!!
Tukisema kilakitu ifanye serikali tutasubiri sana.Itambulike kwamba serikali haiwezi fanya kila kitu.Nina imani jitihada zikianzishwa hapo mkono wa serikali utakuwepo pia ( kama serikali yenyewe ipo!!!)
Post a Comment