Nimekuwa nikisikia watu wanalalamika ya kuwa Facebook inawapotezea muda na hawahitaji kudeactivate akaunti zao lakini kufuta kabisa, Sasa kama wewe pia ni mmoja wapo ulikua unatafuta jibu haupati, mimi Leo nimekuletea jibu hapa.
Ili kudilite akaunti yako ya facebook Bofya hapo chini na fuata maelekezo
No comments:
Post a Comment