Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, March 20, 2011

Mtaa kwa mtaa jijini mbeya

Mtoto Anangisye akielekea katikati ya jiji la mbeya kuokota mkaa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani mtoto huyo alinieleza anaishi nonde na bibi yake ambae hana uwezo wowote hivyo inamlazimu yeye kwenda kuokota mkaa na kuomba kwa wasamaria wema anachokipata anakula na bibi yake

No comments: