Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, March 22, 2011

Msaada Tutatani wadau wa Mbeya Huu mlima unaitwaje vile?

2 comments:

Raymond Mkandawile said...

hapo ni maeneo ya kilimo uyole kaka....

MDAU WA SOKOMATOLA TANU STREET No.15 said...

Hapo kidogo umeniacha solemba,mie niulize kuanzia city center kuelekea uswahilini sokomatola majengo na ghana yake,kila mtaa naujua.mie mtoto wa uswahilini hapo,mtaa uliokua unapatikana vitumbua vitamu tanzania nzima hakuna,mpishi akiwa mama nuru hapo tanu street karibu "olofea" (siku hizi mnapaita benjamin mkapa)