Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, March 21, 2011

MJI MKONGWE SOKOMATOLA

Huu ni mtaa wa kanisa jijini mbeya 

4 comments:

Anonymous said...

kwa kweli ubarikiwe sana, hii sehemu mimi nimekulia Majengo lakini nina miaka 14 sasa sijaiona wewe umetuwekewe picha ya hili eneo kwa sasa kwa kweli unatukumbusha mbali sana, endelea kutupa icha za kwetu, ni kununu fijo,

MDAU WA SOKOMATOLA TANU STREET No.15 said...

Huo mtaa wa kanisa,hapo kwenye kona ukitokea soko matola inaposimama mizunguko tuliita hivyo zamani tukiwa maisha hayo siku hizi nasikia mnaita dala dala,ni sawa,maendeleo pengine,kulikua na duka la muarabu akiitwa saidi,nyumba hiyo alikua akiishi rafiki yangu Golikipa wa Timu ya soka ya MECCO na baadae tukuyu star Banyambala JUMA AMADI na marehemu mzee YAHAYA msangu,ukishuka nyumba kama ya tatu ni kwa mzee mabilauli babake na Asha Mabilauli,kwa upande wapili ni nyumbani kwa kina KADABA,ukirudi mtaa wa nyuma kupitia nyumbani kwa MAPUGILO karibu na Kituo cha afya kiwanja mpaka ni nyumbani Kwa marehemu mzee Kapalata,baba yao na kina MTAWA KAPALATA katibu wa zamani wa tff hapo mbeya na pia mchezaji wa zamani wa RTC na baadae maji maji ya songea,pia mdogo wake marehemu kwa sasa akiitwa MBARAKA "MUBA"KAPALATA Mchezaji wa zamani wa TOWN STARS,KIFWAMBA na NBC MBEYA,mitaa hiyo zamani ilikua si mchezo,siku hizi naona hakuna watu wengi bara barani ila it's too green,hali ya hewa poa sana.

Mbeya Yetu said...

safi san yaani unna kumbukumbu nzuri sana ila ulimsahau bibi yetu mama tufu mtaa wa kanisa nyumba namba 22 wanatizamana na nyumba ya mabilauli

Kakuyu said...

Kwetu ni juu kabisa, Mtaa wa Kanisa nyumba namba 4.
Enzi hizo zinanipa raha sana, hasa nikiwakumbuka ndugu zangu watoto wa Mchungaji Mwamlima, Borad, Ndituzya, Stoiki, Brenda, Lupepelezyo, na Alinuwila.
Pia namkumbuka Ngubasya, Obadia Paza, Saje, Mwakubombaki na watoto wake,Henry (Enule) Mwambopo, Jully, Kachinga, Ibu Mapugilo, Lutufyo na Lughano Mwakasole, ahhhhh....
Really sweet memories.