Tiba ya Mchungaji Mstaafu wa KKKT, Ambilikile Masapile ‘Babu’ anayotoa huko Loliondo, Arusha inadaiwa kuingia hatua ya pili baada ya hivi karibuni kufanya maajabu zaidi.
Kwa mujibu wa shuhuda wetu, maajabu ya tiba hiyo yaliwakuta wanawake wawili, mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, alitapika nyoka muda mfupi baada ya kunywa dawa ya Babu na kuibua hisia kali miongoni mwa watu waliokuwa kwenye foleni wakisubiri huduma.

Habari kwa Hisani ya Global Publishers
No comments:
Post a Comment