Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, March 24, 2011

Mgahawa wa kichina Mbeya

Kama unavyo onekana hapo Juu ni mgahawa maarufu sana upo Sinde Karibia na Shule ya Sangu.. Ukiwa unahitaji kula mambo yetu yale kutoka China unaweza fika hapo na kujipatia kwa bei poa kabisa

No comments: