Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, March 20, 2011

Mambo ya maombi hayo simike mbeya

Watoto hawa wa simike mbeya nimewakuta wakimtoa mwenzao mapepo katika kanisa la AGT nilipo wauliza mwenzenu anatatizo gani mpaka mnamwombea mapepo yatoke wakajibu kuwa huwa anapiga kelele sana wanapokuwa kwenye ibada ya watoto

No comments: